Ifahamu China: Dafina la mbegu za mahindi

  • | KBC Video
    7 views

    Mji wa Zhangye ulioko mkoani Gansu, Kaskazini Magharibi mwa China ni maarufu katika uzalishaji mbegu za mahindi. Moja kati ya kila mbegu mbili za mahindi nchini China inatoka mkoani humu. Maelezo ya kina ni katika makala yetu kuhusu Ifahamu China

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News