Ifahamu densi ya Capoeira

  • | BBC Swahili
    7 views
    Capoeira, mchezo unaochanganya sanaa ya mapigano na ngoma, ni moja ya densi kubwa za kitamaduni za Brazil zinazojulikana duniani ambao ni utamaduni wa Angola. Sasa kizazi kipya cha vijana Afrika wanatumia densi hii kwa mtindo wa kipekee. Je Capoeira ilikuwaje ikafika Brazil? Fatma Abdalla anaelezea #bbcswahili #brazil #angola Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw