Ikulu ukarabati unaendeshwa na idara ya ujasusi na jeshi

  • | Citizen TV
    1,871 views

    Serikali imetetea ukarabati unaofanyika katika Ikulu ya Nairobi na Ikulu nyingine nchini, mratibu wa Ikulu Katoo Ole Metito akisema ukarabati huo unaendeshwa na idara ya ujasusi nis na jeshi.katoo ambaye alifika mbele ya kamati ya bunge ya usalama kutetea bajeti ya ikulu, alisema ikulu inataka nyongeza ya shilingi bilioni 3 kukamilisha baadhi ya miradi yake..