Imesalia siku moja kabla ya uchaguzi wa AUC kufanyika

  • | Citizen TV
    2,600 views

    Tukielekea mjini Addis Ababa ambako wanahabari wetu Steven Letoo na Seth Olale wako ni kuwa, mgombea wadhifa huo wa mwenyekiti wa AUC Raila Odinga alitumia mchana kutwa kufanya vikao na wendani wake wa karibu, siku moja kabla ya uchaguzi huu wa Jumamosi