India: Waokoaji Kerala wakitafuta manusura, watu 166 wafariki
Wanajeshi pamoja na timu za uokozi wakipekuwa kwenye matope na mawe katika eneo la Kerala, India.
Wakati zoezi hili likiendelea mvua imeendelea kunyesha, wanatafuta manusura pamoja na miili ya watu waliokufa kwenye milima katika jimbo la Kerala nchini India, siku moja baada ya watu 165 kufa kutokana na maporomoko ya ardhi kufuatia mvua za masika.
Kufikia sasa karibu watu 1,000 wameokolewa kutoka kwenye vijiji vya milimani, na kwenye mashamba ya majani ya chai, katika mkoa wa Wayana na wengine 225 wakiwa hawajulikani walipo ripoti zimesema . Watu 166 wameripotiwa kufa na wengine 195 kujeruhiwa wakati televisheni ya ndani Asianet ikiripoti vifo 179.
Mvua kubwa kwenye jimbo la Kerala ambalo ni kivutio kikubwa zaidi cha watalii nchini India zilipelekea maporomoka ya ardhi Jumanne, na kusababisha matope pamoja na mawe kuanguka kuelekea sehemu za chini ambapo watu wengi walifunikwa na kufariki wakiwa wamelala.
Mkasa huo unasemekana kuwa mbaya zaidi jimboni humo tangu mafuriko ya 2018 yalipotokea . - Reuters
#kerala #maporomoko #mafuriko #India #vifo #voa #voaswahili
1 Nov 2024
- The conviction marks a big win for EACC as it continues its uphill battle over corruption.
31 Oct 2024
- The pronouncement comes amidst a surge in cases of abductions and femicide.
31 Oct 2024
- The closure will last for a week.
1 Nov 2024
- For months, Agnes Bulaba, a Congolese refugee in Uganda, has had to get by without the food rations she once depended on. Her children scavenge among local communities for whatever they can find to eat.
1 Nov 2024
- Society deems them deviant and disruptive, without considering gender and racial repression that fuels their agitation.
1 Nov 2024
- The conviction marks a big win for EACC as it continues its uphill battle over corruption.
1 Nov 2024
- This comes hours after the High Court lifted an order blocking his ascension to DP.
1 Nov 2024
- Mt Kenya has historically played a decisive role in presidential elections.
1 Nov 2024
- By openly clashing with the president’s inner circle and more, Gachagua broke essential rules of political survival.
1 Nov 2024
- How procedural blunders cost Gachagua's lifeline
1 Nov 2024
- Abductions soil Kenya's image
1 Nov 2024
- Irony of low inflation but empty pockets
1 Nov 2024
- What awaits Kithure Kindiki