Inspekta Jenerali Douglas Kanja asema atafika mahakamani kwa muda wake

  • | K24 Video
    1,548 views

    Hatimaye Inspekta Jenerali wa polisi Douglas Kanja sasa amesema atafika mahakamani kwa muda wake baada ya kukosa mara tatu kufika ili kuileza mahakama kuhusiana na watu watatu wanaoaminika kutekwa nyara eneo la kitengela. Kanja aidha ameeleza kuwa idara ya polisi na maafisa wa upelelezi wa makosa ya jinai nchini DCI wanaendelea na uchunguzi wa visa vya utekaji nyara na wataopatikana na hatia watafikishwa mahakamani.