Inspekta mkuu awatia moyo polisi waliojeruhiwa kazini

  • | Citizen TV
    336 views

    Inspekta mkuu wa polisi Douglas Kanja amewatia moyo maafisa wa polisi waliojeruhiwa wakiwa kazini.