Iran yaanzisha vinu vipya katika programu yenye utata ya nyuklia
Iran imeanza kuweka mabomba mapya ya nyuklia na inapanga kuweka mengine katika wiki zijazo baada ya kukabiliwa na ukosoaji kwa progamu yake ya nyuklia, shirika la Umoja wa Mataifa linalofuatilia masuala ya nyuklia limesema siku ya Ijumaa. Marekani imeieleza hatua hiyo ni “kuongeza mivutano ya nyuklia.”
Kuanzisha vinu vipya katika program ya nyuklia ya Iran, ambayo tayari inasindika uranium kwa viwango vya kuweza kutengeneza silaha za nyuklia na kuboresha shehena yake kwa mabomu kadhaa ya nyuklia kama itaamua kuchukua mwelekeo huo.
Hata hivyo, kukiri kwa Shirika la Kimataifa la Nishati ya Atomiki halikujumuisha pendekezo lolote kuwa Iran inapanga kufikia kiwango vya juu vya kusindika uranium huku kukiwepo mivutano mipana kati ya Tehran na nchi za Magharibi wakati vita vya Israel na Hamas vikiendelea Ukanda wa Gaza.
Shirika la IAEA lilisema wakaguzi wake walithibitisha Jumatatu kuwa Iran ilikuwa imeanza kuweka uranium katika mabomba matatu yenye uwezo wa kurutubisha katika viwango vya IR-4 na IR-6 katika kituo cha usindikaji cha Natanz. Vinu hivyo ni mkusanyiko wa mabomba ya kuchanganya gesi ya uranium pamoja ili kurutubisha kwa haraka madini hayo ya uranium.
Hadi sasa, Iran imekuwa ikisindika uranium katika vituo hivyo kufikia uhalisia wa asilimia 2. Iran tayari imerutubisha uranium kufikia asilimia 60, ikiwa iko karibu kufikia hatua ya kiufundi kuweza kutengeneza silaha mbalimbali kwa kiwango cha asilimia 90.
#Haifa #waelaldahdouh #hamzaaldahdouh #shirikalamwezimwekundu
#Rafah #Netanyahu #Misri #Hamas #Gaza #Palestina #IDF #GalMeirEizenkot #mauaji #jeshi #israel #voa #voaswahili #kufrdan #jenin #wanamgambo #wapalestina #jeshi #israel #iran #isfahan #natanz #uranium #vinu #urutubishaji #kusindika #uranium
22 Apr 2025
- Kenyan men have been accused of adopting outdated toxic traits.
22 Apr 2025
- Kenya's exports to the US are estimated at around Ksh109.7 billion (784 million USD).
22 Apr 2025
- The DCI revealed the case was escalated to the special unit.
23 Apr 2025
- Several world leaders have announced they will travel to Rome for Pope Francis's funeral on Saturday, which is likely to also draw a huge crowd in the square in front of St Peter's Basilica at the Vatican.
23 Apr 2025
- Prince William will represent Britain's royal family at the funeral of Pope Francis at the Vatican on Saturday, Kensington Palace said Tuesday.
23 Apr 2025
- Shilling's rally set for dividends season dollar demand test
23 Apr 2025
- MPs launch probe into kidney trade claims
23 Apr 2025
- The elusive dream: Is the world ready for a Pope from 'fast rising' Africa?
23 Apr 2025
- Minty business: Local farmer mints cash from fragrant crop
23 Apr 2025
- Orengo speaks language of integrity in a betrayed nation
23 Apr 2025
- ARA seeks to freeze assets linked to Canadian tycoon
23 Apr 2025
- Nepal's digital finance and lessons from our mobile money revolution
23 Apr 2025
- Papal dais: A lasting tribute to Pope Francis