"Iron Biby" akaribishwa nyumbani kwa shangwe kubwa

  • | VOA Swahili
    4 views
    Kwa mara nyingine akivishwa taji kuwa “mtu mwenye nguvu zaidi duniani” mwanzoni mwa mwezi Septemba nchini Uingereza, “#IronBiby” alikaribishwa kwa shangwe huko #Ouagadougou, mji mkuu wa Burkina Faso, na mawaziri na mashabiki wake pia. #voa #voaswahili #burkinafaso #ironbiby #uingereza