Isaac Mutuma aapishwa rasmi kama Gavana wa Meru katika hafla iliyohudhuriwa na viongozi wa kaunti

  • | Citizen TV
    672 views

    Aliyekuwa Naibu wa Gavana county ya Meru Isaac Mutuma ameapishwa kufuatia uamuzi wa mahakama ulioafiki uamuzi wa seneti wa kumbandua ofisini Kawira Mwangaza ambaye amehudumu kama gavana wa Meru kwa miaka miwili na miezi saba.