Isaac Mwaura : Hivi karibuni tutapeana nyumba 1088 za gharamu nafuu hapa Nairobi

  • | KBC Video
    8 views

    GOVERNMENT SPOKESPERSON BRIEFING

    Isaac Mwaura : Hivi karibuni tutakuwa tukipeana nyumba 1088 hapa Nairobi kabla mwezi huu kuisha. Hata mbolea tushapeana magunia milioni moja, magunia mengine milioni 1.5 yako njiani kuhakikisha kila mkulima anafaidika.

    #KBCniYetu

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News