Israel yaashiria kupanua mashambulizi ya ardhini kuelekea katikati ya Gaza
Vikosi vya Israel vimeashiria kwamba vinapanua mashambulizi yao ya ardhini kwa msukumo mpya kuelekea katikati mwa Gaza siku ya ijumaa , wakati baraza la usalama la umoja wa mataifa likitarajiwa kupigia kura azimio la kuongeza misaada ya kibinadamu ili kuepusha tishio la njaa.
Wakati matumaini ya kupata mafanikio katika mazungumzo wiki hii huko Misri yamefifia yakilenga mahasimu wanaopigana Israel na wanamgambo wa Hamas kufikia makubaliano ya sitisho jipya, huku mashambulizi ya anga, mashambulizi ya mabomu na mapigano yameripotiwa katika makazi ya palestina.
Serikali ya Israel chini ya waziri mkuu Benjamin Netanyahu imeapa kulitokomeza kundi la Hamas , kundi la kiislamu linaloongoza Gaza baada ya wapiganaji wake kufanya mashambulizi ya kuvuka mpaka Octoba 7 na kusababisha vifo vya watu 1,200 na kuwashikilia mateka watu 240 kwa mujibu wa hesabu za Israel.
- Vyanzo mbalimbali
#Rafah #Netanyahu #Misri #Hamas #Gaza #Palestina #IDF #GalMeirEizenkot #GadiEizenkot #wazirimkuu #maziko
29 Nov 2024
- The proposal would be problematic, particularly in terms of leadership, as Museveni and Kagame have been the states' longstanding leaders.
29 Nov 2024
- Kenyans turned up in large numbers despite the fact that only 3,000 positions were available to be filled.
29 Nov 2024
- The three were feted at an awards ceremony held at the Royal Danish Embassy in Nairobi, Kenya.
30 Nov 2024
- The finance chief of India's Adani Group on Friday rejected U.S. allegations that executives, including Chairman Gautam Adani, were part of a Ksh.34 billion bribery scheme, while the Indian government said it has not received any U.S. request on the…
30 Nov 2024
- Disaster response teams coordinated by National Government Administration have begun evacuating over 240 households affected by the ongoing floods.
30 Nov 2024
- European and American carmakers are set to lose up to 17 per cent of their combined annual core profits if the U.S. imposes import tariffs on Europe, Mexico and Canada, S&P Global said in a report on Friday, warning of potential credit downgrades.
30 Nov 2024
- Parents shocker as State stops student mid-year transfers
30 Nov 2024
- Joyce Akinyi: From hotel owner and now convicted heroin trafficker
30 Nov 2024
- NHIF staff receive redeployment letters
30 Nov 2024
- Origins of thanksgiving week in US and key lessons for Kenyans
30 Nov 2024
- Former MP's abduction puzzle in funeral chaos probe
30 Nov 2024
- Builders, construction firms protest planned 35pc duty on tiles
30 Nov 2024
- 2027: Year of judgement for broken promises, litany of lies