11 Sep 2025 1:21 pm | Citizen TV 550 views Duration: 1:18 Jaji mkuu mstaafu David Maraga ameendelea kuikosoa serikali ya Kenya kwanza kutokana na mauaji ya vijana wakati wa maandamano. Kulingana naye, ni haki ya kila Mkenya kuandamana na kudai haki yake kikatiba.