Jamaa aliyefariki katika kituo cha Polisi cha Shiasala alifariki baada ya kupigwa

  • | West TV
    221 views
    Imebainika sasa kutoka kwa ripoti ya upasuaji ya maiti kuwa jamaa aliyefariki katika kituo cha Polisi cha Shiasala alifariki kutokana na kupigwa kwa kifaa butu Kichwani na Miguuni. Familia sasa inalilia haki kwa kudai aliuawa na maafisa wa Polisi