Jamaa na marafiki wamuaga Elvis Murakana

  • | Citizen TV
    1,605 views

    Ni mwanawe mbunge wa Dagoretti South Beatrice Elachi

    Elachi awarai wazazi kuwa na uhusiano wa karibu na wana wao

    Elvis Murakana alifariki baada ya ajali ya barabarani