Jamaa wawili wafariki baada ya kutumbukia kisimani

  • | KBC Video
    138 views

    Wakazi wa Nyathuna katika eneo bunge la Kabete kaunti ya Kiambu wamepigwa na butwaa baada ya jamaa wawili kufariki baada ya kuanguka kwenye kisima cha kina cha futi 120.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive