Jamaa za waliotekwa nyara kitengela wasimulia hali

  • | Citizen TV
    3,770 views

    Familia ya vijana wawili waliotekwa nyara na watu wanaoaminika kuwa maafisa wa polisi wamezungumza kwa mara ya kwanza tangu kupatikana kwao. Abdirazak Longtone ambaye ni ndugu ya Jamil na Aslam Longtone ameelezea kile ndugu zake walipitia tangu kutekwa nyara mwezi jana. Haya yanajiri huku mmoja wa ndugu hawa waliotekwa pamoja na mwanaharakati Bob Njagi akiuguza majeraha.