Jamii ya Wachonyi imemteua mwenyekiti mpya

  • | Citizen TV
    176 views

    Jamii ya WaChonyi kaunti ya Kilifi imemteua mwenyekiti mpya wa baraza la wazee wa wachonyi katika sherehe iliyoshuhudiwa na viongozi mbali mbali kutoka kaunti hiyo. Ni Katika hafla hiyo ambapo Viongozi wa jamii sambamba na wanasiasa waliwarai wanajamii wa mijikenda kuungana kwa ajili ya uwiano na maendeleo ya jamii. Kiongozi huyo mpya amewaahidi wakaazi kuwa atakua katika mstari wa mbele kuwatetea kupata miradi kutoka serikali kuu na ile ya kaunti.