Jamii ya waiislamu kote nchini, imeanza rasmi kuadhimisha mwezi mtukufu wa Ramadhani

  • | K24 Video
    19 views

    Jamii ya waiislamu kote nchini, imeanza rasmi kuadhimisha mwezi mtukufu wa Ramadhani ambao kwa kawaida huadhimishwa kwa njia ya sala na mfungo kufuatia kuonekana kwa mwezi mpevu cresent moon hii leo katika ukanda wa Afrika Mashariki.