Jamii ya wapare yataka serikali iwatambue rasmi kama mojawapo ya makabila ya Kenya

  • | Citizen TV
    407 views

    Jamii ya Wapare wanaoishi katika Kaunti ya Taita Taveta, kupitia wakili wao na Mbunge wa Taveta John Bwire, waliwasilisha ombi kwa Naibu Rais Kithure Kindiki hapo jana, wakitaka kutambuliwa rasmi kama mojawapo ya makabila ya Kenya.