11 Sep 2025 1:18 pm | Citizen TV 262 views Duration: 3:10 Swala la wanaume kutoripoti visa vya kudhulumiwa kwenye ndoa, limetajwa kuchangia ongezeko ya visa hivyo katika jamii za wafugaji. Wadau wakiwataka wanaume kujitokeza na kuzungumzia madhila yanayowafika.