Jamii yahimizwa kufunga ndoa kwa njia za kitamaduni

  • | Citizen TV
    601 views

    Wataita ni jamii inayoenzi mfumo wa kifamilia, ila kudidimia kwa tamaduni zinazokuza ndoa kumechangia pakubwa ndoa nyingi kuvunjika kwa kutalikiana. Kutokana na hali hii, wizara ya utamaduni na wazee wa Kaunti hiyo wamehimiza wanandoa kufanya harusi za kitamaduni, ambazo huchangia kuweka misingi thabiti kwa ndoa changa katika jamii hiyo. Keith Simiyu alihudhuria mojawapo ya harusi hizo na kuandaa taarifa ifuatayo