Jamii yakimbia kisiwa chao kinachozama

  • | BBC Swahili
    208 views
    Kuongezeka kwa kina cha bahari kunatishia makazi ya wenyeji wa Guna huko Gardi Sugdub, Panama, hali inayosababisha wakazi wa eneo hilo kuhamishwa katika kisiwa hiko lakini si kila mtu anataka kuondoka. #bbcswahili #panama #mabadilikotabianchi Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw