Jamii yatakiwa kuwakumbatia waliomaliza kifungo gerezani

  • | Citizen TV
    163 views

    Wakenya wametakiwa kuwakumbatia wenzao ambao wamemaliza vifungo vyao gerezani, kama njia Moja ya kuwasaidia kufanikisha mwanzo mpya wa maisha