Jamii yatakiwa kuwapa nafasi walemavu wa kusikia

  • | Citizen TV
    138 views

    Huku mwezi wa uhamasisho kwa walemavu wa kusikia ukifika tamati, washika dau wa elimu wametoa wito kwa jamii kutowabagua na kuwapa nafasi sawa ili watimize ndoto zao maishani. James latano anatuarifu zaidi kutoka kaunti ya Homa Bay.