- 203 viewsBaadhi ya sehemu za mashariki mwa Sudan zimekumbwa na mafuriko baada ya bwawa kuvunjika na kuharibu vijiji 20 na kusababisha vifo vya watu 30. Mvua kubwa zimesababisha mafuriko yaliyojaza bwawa la Arbaat mnamo Jumapili, kilomita 40 kaskazini mwa Port Sudan, mji ambao sasa unatumika kama makao makuu ya serikali, wanadiplomasia, mashirika ya misaada na watu waliokoseshwa makazi kutokana na vita vya miezi kadhaa kati ya jeshi na kikosi cha kijeshi cha RSF. Umoja wa Mataifa umesema kwamba karibu watu 50,000 wameathiriwa na mafuriko, na kwamba huenda idadi hiyo inajumuisha tu watu waliokuwa wanaishi magharibi mwa bwawa hilo na kwamba si rahisi kuwafikia watu walio mashariki mwa bwawa. - Reuters #sudan #mafuriko #vifo #maziko #uharibifu #vijiji #portsudan #rsf #jeshi #voa #voaswahili
Jamii yazika miili ya waliofariki katika mafuriko jimbo la Red Sea nchini Sudan
- 22 Apr 2025 - Pope Francis died of a stroke, causing a coma and "irreversible" heart failure, according to his death certificate released by the Vatican on Monday.
- 22 Apr 2025 - The papacy journey started with St. Peter, he who Christ christened as the rock of the Church.
- 22 Apr 2025 - Tragedy struck on Monday at Loberer area along the Marigat-Chemolingot route in Baringo County, where two people were shot dead and two others injured. The victims were ambushed by suspected bandits while travelling to Nginyang market in a police convoy…
- 22 Apr 2025 - Role of Commissioner for Cooperatives questioned in Kuscco Sh13b saga
- 22 Apr 2025 - Youths dare dream as Nyanza's Junior Golf tourney highlights growth
- 22 Apr 2025 - The inconvenient truth about devolution, the environment
- 22 Apr 2025 - Mwangangi named SHA boss as Ingasira takes over in Finance
- 22 Apr 2025 - Tusker surge ahead of Police and Gor Mahia as title race heats up
- 22 Apr 2025 - Goodbye Pope: Pontiff hailed as moral icon and voice of the voiceless
- 22 Apr 2025 - Ruto takes Kenya's wishlist to Beijing as trade winds shift