Jamii za Samburu, Pokot, Turkana zinakumbatia amani huku hali ya utulivu ikishamiri

  • | TV 47
    12 views

    Utulivu umeanza kurejea Kapedo, amani inashamiri.

    Jamii za Samburu, Pokot, Turkana zinakumbatia amani.

    Juhudi za amani zinahimiza jamii kuishi kwa amani.

    Jamii zinaimba na kucheza pamoja.

    2012, takriban askari 42 waliuliwa katika operesheni ya Kapedo.

    Vita hivyo viliwaacha wakazi wengi kuwa wajane.

    Wizi wa ng’ombe umekuwa ukishuhudiwa kwa muda.

    #TV47Matukio

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __