Japheth Kaluyu atangaza kuwania Urais 2027

  • | KBC Video
    44 views

    Aliyekuwa mgombea kiti cha urais Japheth Kaluyu, kwa mara nyingine ametangaza azma yake ya kuwania kiti hicho mwaka 2027. Kaluyu anayenuia kuwania kiti hicho kupitia chama cha United Change amesema hajaridhishwa na uongozi wa sasa, hatua ambayo imechangia kufanya uamuzi huo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive