Jaribio la chanjo ya HIV Afrika lasimamishwa

  • | VOA Swahili
    78 views
    Mapema mwezi huu majaribio ya chanjo ya HIV nchini Uganda, Tanzania na Afrika Kusini yalisimamishwa baada ya data za awali kupendekeza huenda haitakuwa na ufanisi katika kuzuia maambukizi, kwa mujibu wa mchanguzi mkuu wa majaribio hayo. #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.