Skip to main content
Skip to main content

Jaribio la polisi kuzuia kampeni Malava lishindikana, wafuasi wa upinzani wafurusha maafisa

  • | Citizen TV
    4,391 views
    Duration: 2:18
    Jaribio la maafisa wa polisi kuzuia kampeni za upinzani za uchaguzi mdogo wa Malava kaunti ya Kakamega liliambulia patupu baada ya wafuasi wa upinzani kuwafurusha maafisa waliokuwa wakijaribu kusitisha maandalizi ya mkutano. Haya ni huku upande wa Kenya kwanza ukiwalaumu viongozi wa upinzani na kudai kuwa wanachochea ghasia