Je Abu Mohammed al-Jawlani ni nani haswa?

  • | BBC Swahili
    282 views
    Abu Mohammed al-Jawlani ameongoza wanamgambo wa Kiislamu waliomwondoa madarakani Rais Bashar al-Assad tarehe 8 Disemba 2024. Alijitokeza hadharani huko Damascus baada ya waasi wa kundi analoongoza la Hayat Tahrir Al-Sham (HTS) kuudhibiti mji mkuu wa Syria. Amejaribu kujionesha kama mtu mwenye msimamo wa kawaida lakini Marekani inasema itatoa zawadi ya dola milioni 10 kwa kukamatwa kwake. #bbcswahili #syria #HTS Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw