Je, huu ndio mwanzo wa kifo cha upinzani Kenya?

  • | BBC Swahili
    5,615 views
    Kiongozi wa upinzani nchini Kenya Raila Odinga, sasa yupo ndani ya serikali ya taifa hilo baada ya chama chake cha ODM kutia saini mkataba wa makubaliano na chama tawala cha UDA kinachoongozwa na Rais William Ruto. @RoncliffeOdit atachambua kwa kina katika Dira ya Dunia TV mubashara kupitia ukurasa wa YouTube BBC Swahili. #bbcswahili #kenya #diratv Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw