Je IbrahimTraoré wa Burkina Faso alitaka kupinduliwa?

  • | BBC Swahili
    3,405 views
    Serikali ya kijeshi ya Burkina Faso ilisema imezuia "njama kubwa" ya kumpindua kiongozi wa utawala wa kijeshi, Kapteni Ibrahim Traoré, ambapo inadai kuwa wapanga njama hao walikuwa wakifanya kazi kutoka nchi jirani ya Ivory Coast na kuongozwa na wanajeshi wa sasa na wa zamani wa Burkinafaso waliokuwa wakishirikiana na viongozi wa makundi ya kigaidi. Ahmed Bahajj anaelezea 🎥: @brianmala #bbcswahili #BurkinaFaso #ibrahimtraore Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw