Je, Joseph Kabila atamaliza vita vya M23 huko DRC? Katika Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    7,813 views
    Rais wa zamani wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo Joseph Kabila anatarajiwa kurejea nchini humo, akisema kurejea kwake ni kwa nia ya kusaidia kutafuta suluhu ya kudumu kwa mzozo unaoendelea mashariki mwa DRC. Kurejea kwake kuna maana gani kwa taifa hilo? Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw