Je, kukamatwa kwa Riek Machar kutasababisha vita Sudan Kusini?

  • | BBC Swahili
    2,080 views
    Ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Sudan Kusini umeonya kwamba kukamatwa kwa Makamu wa Kwanza wa Rais Riek Machar kumeifanya nchi hiyo kuwa kwenye hatari ya kurejea kwenye vita vya wenyewe kwa wenyewe. Serikali ya Sudan Kusini bado haijasema lolote juu ya kukamatwa kwa Machar. Hali ya wasiwasi imesalia kuwa juu mjini Juba, huku kukiwa na taarifa za kuwepo kwa wanajeshi wengi walioweka kambi karibu na nyumba ya Machar.