Je kundi la Hayat Tahrir al-Sham ni nani?

  • | BBC Swahili
    1,634 views
    Kundi Hayat Tahrir al-Sham linaloongoza mashambulizi ya hivi karibuni dhidi ya vikosi vya Assad nchini Syria lilikuwa ni tawi la al-Qaeda. Hata hivyo, hivi karibuni kundi hilo limejitahidi kujionesha kama kundi la kawaida ili kupata uhalali. #bbcswahili #syria #Assad Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw