Je kupungua kwa hamu ya ngono ni athari za ukomo wa hedhi?

  • | BBC Swahili
    383 views
    Ukomo wa hedhi ni wakati ambao mzunguko wa hedhi huifikia ukomo na kwa hali hiyo mwanamke hawezi tena kushika mimba Lakini je kupungua kwa hamu ya ngono ni mingoni mwa athari za ukomo wa hedhi? Beldeen Waliaula anaelezea 🎥: Brian Mala #bbcswahili #wanawake #hedhi Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw