Je, Mahakama ya Afrika itatatua mzozo wa Rwanda/DRC?

  • | BBC Swahili
    1,015 views
    Leo, mahakama ya Afrika ya Haki za Kibinadamu imeanza kusikiliza kesi iliyowasilishwa na Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo (DRC) dhidi ya Rwanda. Mahakama hiyo, ambayo iko Arusha Tanzania, itasikiliza kesi hiyo kwa siku mbili. Mnamo 2021 Rwanda iliishtaki DRC na kusema kwamba inachangia hali ya vita vinavyoshuhudiwa mashariki mwa nchi hiyo.