Je, ni kweli bidhaa za kifahari zinatengenezwa nchini China?

  • | BBC Swahili
    3,780 views
    Video zilizosambaa mtandaoni zinadai chapa za kifahari za Ulaya humalizia kuweka vifungashio tu na nembo kwa bidhaa ambazo zinatengenezwa China Je kuna ukweli wowote? - @frankmavura anaelezea - - - #bbcswahili #china #ulaya Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw