Je, nini kipo katika mpango wa kusitisha mapigano kati ya Israel na Hamas?

  • | BBC Swahili
    869 views
    Israel na Hamas wameingia kwenye mapatano ambayo yanaweza kusitisha vita huko Gaza na kushuhudia kuachiliwa kwa mateka wa Israel na wafungwa wa Kipalestina. Je mpango huu wa makubaliano unaamanisha nini? @regina_mziwanda anaelezea #bbcswahili #israel #hamas Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw