Je, Raila Odinga ataibuka kidedea AUC?

  • | BBC Swahili
    3,372 views
    Waziri Mkuu wa zamani wa Kenya Raila Odinga, anaingia uwanjani kuminyana na wagombea wengine wawili kuwania uenyekiti wa AUC. Tunajadilia ikiwa atapita kati kati ya Richard Randriamandrato wa Madagascar na Mahamoud Ali Youssouf wa Djibouti kuchukua nafasi ya kumrithi Moussa Faki Mahamat anayeondoka. Haya na mengine mengi yataangaziwa kenye Dira ya Dunia TV naye Roncliffe Odit mubashara saa tatu usiku kwenye Kurasa ya YouTube ya BBC Swahili. #bbcswahili #AUC #UmojawaAfrika Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw