Je, Sahel ndiyo sehemu hatari zaidi duniani?

  • | BBC Swahili
    1,777 views
    Tangu ukanda huo upate uhuru kutoka kwa wakoloni wa Magharibi katikati ya karne ya 20, nchi za Sahel zimepitia mapinduzi ya kijeshi mara kadhaa kwa viwango tofauti. Mnamo 2024, kwa mara ya kwanza, eneo hilo lililoko kusini mwa Jangwa la Sahara pia lilishuhudia zaidi ya nusu ya “vifo vyote vinavyohusiana na ugaidi” duniani, kwa mujibu wa Global Terrorism Index. Je ni nini kinafanya eneo hili lenye hali ya ukame wa wastani kuwa lenye misukosuko mingi? Esther Namuhisa anaelezea 00:01 Utangulizi 00:44 Sahel ni nini? 02:02 Utawala mbovu 04:10 Hali ya kutokuwa na usalama 07:58 Ushawishi wa Kigeni 12:35 Nini kinachofuata? #bbcswahili #sahel #ugaidi Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw