Je, umuhimu wa redio ni nini?

  • | BBC Swahili
    304 views
    Leo ni Siku ya Redio Duniani. Katika maadhimisho ya 13 ya siku hii, kauli mbiyo iliyotolewa ni 'redio na mabadiliko ya tabia nchi' kama nyenzo muhimu ya utekelezaji. Kutokana na dunia inavyoendelea kukabiliwa na changamoto za mabadiliko ya tabia nchi, redio inasalia kuwa chombo muhimu kueneza uelewa, kutoa elimu kwa umma na kuhamasisha ushirikishwaji wa pamoja. Hawa hapa ni baadhi ya watangazaji wakiielezea umuhimu wa redio duniani.