Je unawafahamu viongozi wakuu wa M23 wanaopigana DRC?

  • | BBC Swahili
    36,117 views
    Sultani Makenga na Corneille Nangaa wamekuwa wahusika wakuu katika mgogoro unaoendelea wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), wakiunganisha nyanja za kijeshi na kisiasa za mzozo huo. - Historia yao, vitendo vyao vya zamani, na ushirikiano wao wa hivi karibuni vimeongeza mvutano katika eneo hilo, huku wakikabiliwa na ukosoaji na vikwazo vya kimataifa. - Je unawafahamu viongozi hawa wakuu wa kundi la waasi la M23? Leila Mohammed na tathmini ya kina kuwahusu. - #bbcswahili #m23 #goma #drc #tanzania #kenya Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw