Je, unaweza kula keki iliyochapishwa kwa mfumo wa 3D?

  • | BBC Swahili
    452 views
    Chuo Kikuu cha Columbia huko New York wametumia mashine ya kuchapisha ya 3D kutengeneza keki ya jibini kwa kutumia 'wino' wa chakula kama sehemu ya mradi wa chakula cha kuchapishwa. #bbcswahili #columbia #marekani