Je unaweza kupata saratani kwa kupaka rangi ya ‘Gel’?

  • | BBC Swahili
    364 views
    Hivi karibuni utafiti uliofanywa na Chuo Kikuu cha California na Chuo Kikuu cha Pittsburgh ulielezea hatari inayoweza kupatikana kutokana na mwanga wa UV unaotoka katika kifaa cha kukaushia rangi ya ‘Gel’ kuwa unaweza kusababisha saratani. Ni rangi pendwa kwa wanawake wengi kwa sasa je ulishawahi kujiuliza kama kuna athari yeyote ile inaweza kutokea kwa kutumia kifaa chake cha kukaushia? Mwandishi wa BBC Veronica Mapunda ameandaa taarifa hii. 🎥: @frankmavura #bbcswahili #wanawake #urembo