je unazungumza lugha ngapi?

  • | BBC Swahili
    273 views
    Kutana na Habineza Antoine kutoka Kigali, Rwanda, ambaye amejifunza zaidi ya lugha 30. Alikua na shauku ya kujifunza lugha tangu zamani. Je ni lugha gani zilikuwa ngumu na rahisi zaidi kwake kujifunza? na je Huota ndoto kwa lugha gani? Tazama #bbcswahili #rwanda #elimu Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw