Je usonji ni nini?

  • | BBC Swahili
    931 views
    Hilda Nkabe ni mama wa mtoto mwenye usonji ambaye anasema ilikuwa vigumu kukubali kuwa mtoto wake ana changamoto hiyo hadi pale alipojielimisha mwenyewe. Kwa sasa mtoto wake ana miaka 18 na hilda kupitia taasisi yake ya @lukiza_autsmtanzania anatoa elimu na kusaidia kuelewa changamoto hii ya usonji. Amezungumza na martha_saranga na kuelezea kuhusu usonji na namna alivyopokea taarifa ya mtoto wake kwa kwanza miaka 14 iliyopita alipokuwa nchini China kikazi. Unaweza mahojiano haya kwa urefu kupitia ukurasa wa YouTube wa BBCSwahili #bbcswahili #tanzania #waridiwabbc Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw