Je, wewe ni dereva anayependa kuendesha kwa kasi?

  • | BBC Swahili
    477 views
    Baadhi za Barabara kuu jijini Nairobi zimewekwa kamera za kuthibiti mwendo kasi kwa madereva. Mwanahabari wa BBC @shuayib.ibrahim anaangazia leo juu ya mradi huu wenye lengo la kupunguza ajali #bbcswahili #usalama #barabara Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw