Jeneza lenye kuku laonekana shambani katika eneo la Athir River

  • | K24 Video
    52 views

    Familia moja katika kijiji cha Munyutu eneo bunge la Runyenjes imeirai serikali kuingilia kati na kuisaidia katika kuusaka mwili wa mwana wao uliopotea kutoka chumba cha maiti katika hali tatanishi. Katika eneo la Athir River wakazi wameachwa vinywa wazi baada ya kuona jeneza lenye kuku kuonekana katika shamba linalozozaniwa, kwa taarifa hizo na nyingine tuoate katika matuko ya mashinani na mumbi wambugu.